Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

mputura

Member
May 20, 2013
24
49
Habari,

Naomba ushauri kwa anayefahamu namna gani naweza kupata pesa zangu zote NSSF ipo kiasi ni chini ya mill 5 na kazi nimeachishwa hivyo ukifuata utaratibu wa kawaida unaambiwa kuna kikokotoo unapewa 33℅ ya gross sallary yako ndan ya miez sita kisha unasubir miez 18 ndio upate yote.

Sasa nahitaji niongeze kwenye mtaji wa biashara hyo pesa yote nifanyaje ili niweze kupata pesa yangu yote,?elimu yangu bachelor.

Asanteni nipo hapa napitia comment zenu wanajopo

Screenshot_20230324-105951_Chrome.jpg

Habari,

Naomba ushauri kwa anayefahamu namna gani naweza kupata pesa zangu zote NSSF ipo kiasi ni chini ya mill 5 na kazi nimeachishwa hivyo ukifuata utaratibu wa kawaida unaambiwa kuna kikokotoo unapewa 33℅ ya gross sallary yako ndan ya miez sita kisha unasubir miez 18 ndio upate yote...
Tafuta kazi ya ulinzi, au yoyote isipokuwa ya kitaaluma inayopeleka michango yako NSSF.

Fanya kazi miezi 3 au 6 then tengeneza Mazingira ya kuachishwa kazi.

Utapata michango yako yote
 
Unajua kwenye hili swala la NSSF lina pande mbili unaweza ukakuta mtu ni muhasibu lakini anafanya kazi kiwandani kama operator yaani out of proffessional ni rahisi kupata hela zote za NSSF ila kama wewe ni muhasibu na umeajiriwa kama muhasibu basi hilo swala litakuwa gumu kupata hela zote kwasababu upo ndani ya professionalism wanaamini mda wowote utapata kazi mimi nilipata zangu zote maana nilikuwa nafanya kazi katika kitu nje ya professional yangu.
 
Tafuta kazi ya ulinzi, au yoyote isipokuwa ya kitaaluma inayopeleka michango yako NSSF.

Fanya kazi miezi 3 au 6 then tengeneza Mazingira ya kuachishwa kazi.

Utapata michango yako yote
Before nilishafanya kaz kwenye campuni nyingne kama cashier tu na kuingia pale hakukutakiwa uwe na chet cha chuo nilipoacha hapo ndipo nikaingia huku sasa pesa zote ziliingia kwenye account moja
 
Ndio mkuu wanaamini ulikuwa kibarua ila kama ni ndani ya professional yako itakuwa ngumu mkuu.
Sasa kuna watu nilikuwa nafanyanao kaz hapa na waliachishwa kaz walivyoenda wameshindwa kupewa yote wanachukua kwa awamu hapo shida nin??
 
huwezi kupata mpaka hiyo miezi 18,ungekuwa uliajiriwa kama UNSKILLED (KIBARUA)ungepata,lakini kwa kuwa ni graduate NSSF wanaamini utapata kazi nyingine na kuendelea kuchangia hivyo HAWAKUPI
NSSF watajuaje kama kazi niliyokuwa nafanya labda nilisubmit chet cha chuo labda nikisema cjaenda chuo na pale niliingia kwa chet cha form six tu kwa connection hapo vip pesa itatoka na nikiwa na evidence kutoka kwa HR nisaidieni nduguyangu hii kwangu iko serious sana nina biashara sina mtaji na ela ndio ipo huko nssf
 
Yaan ipo chin ya mill 5 nisichukue yote nimwachie nan sasa nataka nipate mtaji wa biashara benk cnavigezo hii ndio naitegemea nako figisu ndio hizo kibao
Pambana sasa kiuanaume. Hela hiyo ukipata kazi iongezee ikusaidie uzeeni. Tumeona watu wazima wakilia machozi kwa kukosa pensheni. Usiombe!
Pambana kwa sasa unanguvu ya kukopa au kufanya kazi ukadunduliza mtaji. Uzeeni hakuna wa kukukopesha wala nguvu za kufanya kazi utakua huna kabisa. Utajikuta unatafta kazi kwa kulazisha ili upate kahela ka kujikimu wewe na familia lakini maBOSS wanakunyima kazi wanakuhurumia watakutesa.

Cha muhimu ni idadi ya miezi uliyochangua ndio ina matter...sio kiasi ulichochangia. Mf. Aliyechangia miezi 10 jumla laki 3 anafaida ya pensheni zaidi ya mtu aliyechangia miezi 3 Milioni.
 
Wakuu labda namimi niunge hapa mtanipa ushauri,
Mimi nilifanya kazi mahali fulan km professional ila baadae mkataba ukaisha nikaenda kufanya kazi sehem nyingine bila mkataba just kibarua sababu hata malipo ilikuwa ni cash tu sio bank.

Sasa imepita miaka miwili tangu niache kule pa mwanzo je naweza kupewa hela zangu zote nssf?
 
Pambana sasa kiuanaume. Hela hiyo ukipata kazi iongezee ikusaidie uzeeni. Tumeona watu wazima wakilia machozi kwa kukosa pensheni. Usiombe!
Pambana kwa sasa unanguvu ya kukopa au kufanya kazi ukadunduliza mtaji. Uzeeni hakuna wa kukukopesha wala nguvu za kufanya kazi utakua huna kabisa. Utajikuta unatafta kazi kwa kulazisha ili upate kahela ka kujikimu wewe na familia lakini maBOSS wanakunyima kazi wanakuhurumia watakutesa.

Cha muhimu ni idadi ya miezi uliyochangua ndio ina matter...sio kiasi ulichochangia. Mf. Aliyechangia miezi 10 jumla laki 3 anafaida ya pensheni zaidi ya mtu aliyechangia miezi 3 Milioni.
Mkuu kimfaacho mtu chake huko uzeeni hakuna ajuaye vipi endapo atachukua hela yake na kufanya vizuri huko uzeeni atakuwa kashakuza mtaji.
 
Pambana sasa kiuanaume. Hela hiyo ukipata kazi iongezee ikusaidie uzeeni. Tumeona watu wazima wakilia machozi kwa kukosa pensheni. Usiombe!
Pambana kwa sasa unanguvu ya kukopa au kufanya kazi ukadunduliza mtaji. Uzeeni hakuna wa kukukopesha wala nguvu za kufanya kazi utakua huna kabisa. Utajikuta unatafta kazi kwa kulazisha ili upate kahela ka kujikimu wewe na familia lakini maBOSS wanakunyima kazi wanakuhurumia watakutesa.

Cha muhimu ni idadi ya miezi uliyochangua ndio ina matter...sio kiasi ulichochangia. Mf. Aliyechangia miezi 10 jumla laki 3 anafaida ya pensheni zaidi ya mtu aliyechangia miezi 3 Milioni.
How comes ushikirie ela yangu mwenyewe pesa hata mil 10 haijafika ukasema inisaidie uzeeni serious badala ya kuniachia niwekeze kwenye biashara ili investment zangu zikue sasa kama nahitaji niwekeze kwenye real estate itakuwaje unahold pesa zangu na mim ni kijana chin ya miaka 30 malengo ni yap hapo mpka nistahafu lini na nastahafu nin wakat cna kazi na kwa sasa cna lengo la kuajiriwa hii unaona imekaa sawa chief??
 
Ile hela mkuu sio yako kwa sasa, ...ni mpaka pale itakapoiva kua yako (uzeeni). Ingekua yako usingekua unazunguka mitandaoni kuomba ushauri wa namna ya kuipata.
 
Hizo fikra ndio tunatakiwa tuziondoe kuona serikali wamefanya kitu sawa pesa yangu nimekatwa kwenye mshahara wangu alafu unipangie mashart ya namna hyo na aya mabadiliko yamekuja mwakajana ambapo sisi tulikuwa tumeanza kuchangia tayar, tupo na viongoz ambao wanajiangalia wao tu upande wa wabunge mawaziri wakimaliza ubunge wao wanachukua yote wewe hii unaona iko sawa au unaishi kwa kukalili sababu serikali imesema ndio iwe hvyo????
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom