Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,417
- 5,277
Unataka uanze kutusumbua na sms za "Tuma Kwa namba hii"
Ujinga mwingi Tz!Nina deal ya kufunga systems fulani ambapo hizo systems kila moja itahitaji simcard.
Actually zinahitajika simcards nyingi, ila hizo 50 nimeandika tu.
Nchi za wenzetu wanakuwa na simcards zinaitwa IOT simcards, Ni laini haina namba inakuwa tu na ICC ID. Ni special kwa ajili ya Internet na Service provider tu ndio anaweza kuitop up MB hiyo laini baada ya kuwa mmelipana.
Sisi Tanzania tumelala usingizi. Kweli umasikini mbaya sana.
Ukizipata kienyeji jiandae kuhusishwa na mtandao wa uhalifu.Wakuu, Habari za jioni.
Nmepata deal fulani mahali ambalo kikwazo pekee ninachokiona ni kupata hizo laini za simu nyingi kwa mtandao mmoja.
Cha msingi kwenye hizo laini ni internet tu, sina shida na message wala dakika.
Je hili linawezekana?
Nasikitika kusema hujanielewa kabisa nilichoandika.Kama shida ni internet tu, basi funga zuku fiber utapata access ya internet kwa watu wote
Weka 20 mbps wapatie watu kumi kila moja so 5 router umemaliza mchezo
nenda kampuni husika ya mtandaoNina deal ya kufunga systems fulani ambapo hizo systems kila moja itahitaji simcard.
Actually zinahitajika simcards nyingi, ila hizo 50 nimeandika tu.
Nchi za wenzetu wanakuwa na simcards zinaitwa IOT simcards, Ni laini haina namba inakuwa tu na ICC ID. Ni special kwa ajili ya Internet na Service provider tu ndio anaweza kuitop up MB hiyo laini baada ya kuwa mmelipana.
Sisi Tanzania tumelala usingizi. Kweli umasikini mbaya sana.
Sasa ^ukifunga hiyo system,^ siye tutawezaje kufanya kazi, mkuu. Because ^system^ utakuwa umeifunga?Nina deal ya kufunga systems fulani ambapo hizo systems kila moja itahitaji simcard.
Sidhani kulikuwa na haja ya matusi kakujibu kwa ufahamu wake kama ushauri wake hukuupenda ungetumia busara tuWaliotunga hizi sheria za laini wana akili kama zako.
Nimeandika sina shida na kupiga simu au kutuma text wakitaka hizo parameters mbili waziblock.
Shida yangu ni access ya internet tu.
Bado unakuja kuniwekea comment kama hii. Mpuuzi.
Huu muda unapotezea huku JF nenda maeneo ya Morocco Dar es Salaam kampuni zote za simu zipo maeneo ya jirani na wakikudaka huo udanganyifu wako hata oysterbay napo sio mbali na hapo!Nasikitika kusema hujanielewa kabisa nilichoandika.
Mimi sijasema hiyo internet wanahitaji watu watumie.
The only way ya mimi kupata internet kwenye hizo devices ni kwa kutumia.laini za simu. Siyo kwa hiyo njia uliyosuggest wewe.
VPN Internet, kila laini anapitisha MB.300 za data,unataka kuzitumia vipi hizo line mkuu!