Customer care wapo. Piga uulizie..Wakuu, Habari za jioni.
Nmepata deal fulani mahali ambalo kikwazo pekee ninachokiona ni kupata hizo laini za simu nyingi kwa mtandao mmoja.
Cha msingi kwenye hizo laini ni internet tu, sina shida na message wala dakika.
Je hili linawezekana?
Waliotunga hizi sheria za laini wana akili kama zako.Nenda mahakamani ukaeleze ndio upewe..
Nyie ndio matapeli tunaowatafuta..
Nina deal ya kufunga systems fulani ambapo hizo systems kila moja itahitaji simcard.unataka kuzitumia vipi hizo line mkuu!
Kama ni mradi uwe umesajiliwa, una leseni ya biashara, tin number, na barua ya kuelezea kusudi la hizo line.Supporting documents zipi?
Hiyo Deal naingia na kampuni fulani. Me biashara yangu imesajiliwa mpaka brela.Kama ni mradi uwe umesajiliwa, una leseni ya biashara, tin number, na barua ya kuelezea kusudi la hizo line.
Kumbuka hakuna mtu anaweza miliki line zote hizo lakini kama ni mradi fulani wa namna yoyote ile inaqezekana.
Kiduku Nina swali mkuu ?Hiyo Deal naingia na kampuni fulani. Me biashara yangu imesajiliwa mpaka brela.
Umesema system yako inahusu nini mkuu Kiduku Trump,Karibu
Fafanua hiiNina deal ya kufunga systems fulani ambapo hizo systems kila moja itahitaji simcard.
Actually zinahitajika simcards nyingi, ila hizo 50 nimeandika tu.
Nchi za wenzetu wanakuwa na simcards zinaitwa IOT simcards, Ni laini haina namba inakuwa tu na ICC ID. Ni special kwa ajili ya Internet na Service provider tu ndio anaweza kuitop up MB hiyo laini baada ya kuwa mmelipana.
Sisi Tanzania tumelala usingizi. Kweli umasikini mbaya sana.