NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Am sure 80+% ya Watanzania wenye smartphone hawajui hizi Adblock...watu mnapenda apps zinazowasaidia afu hamtaki matangazo wala kupoteza dollar mbili kununua, sasa wanaowatengenezea hizo apps wale wapi?? tangazo lenyewe utakuta moja ila unaboreka kinoma. Aliyetengeneza adblock mjinga, developer mzima anakomaa kublock kitu ambacho developers wenzake wengi wanategemea kama source of revenue, ipe muda tu, with time hata adblock itashindwa kuzuia ads
Naombeni msaada simu yangu nimeroot sasa nataka nifanye factory data reset je root itapotea?
hapana. itapotea pale utakapo unroot
Wakuu hebu nisaidieni jinsi gani nitaweza kutumia ad block plus bila kuroot simu yangu aina ya samsung s4. Nilifanikiwa kudownload ABP lakini kwenye kufanya configure nimeshindwa.
Njuwa Wamavoko & Mwl.RCT
Adblock Plus | https://adblockplus.org/en/android-install |
Inakubali kwa simu zote, zilizo kuwa rooted na ambazo hazijawa rooted
Cha kuzingatia hakikisha katika settings umeruhusu "installing apps from unknown sources"
Ni adAway | https://f-droid.org/repository/browse/?fdid=org.adaway | ambayo ni lazima simu yako iwe rooted
Ningependa kuijua hio app, ila isiwe issue za ku-root simu tena, coz wengine simu zetu bado zipo kwenye warranty period
Ningependa kuijua hio app, ila isiwe issue za ku-root simu tena, coz wengine simu zetu bado zipo kwenye warranty period
Ok hio Adaway ni App ambayo naweza kuitumia bila Ku-root simu yangu cc KIOO