ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,023
Samahani mkuu unatumia simu ya aina gani, android/ios??
Android NatumiaSamahani mkuu unatumia simu ya aina gani, android/ios??
Solution hapo ni kuweka os mpya tuYaani Nikisha Washa Data, Simu Inasumbua Sana, Inaleta Matangazo Mengi Mpaka Nashindwa Download Vitu, Yaani ninavyo Bonyeza Iingie Sehemu Fulani, Inaenda Kungine, Yaani Sipendi, Duh!! Haya Matangazo mi siyapendi hata kidogo
Inategemeana na cm ila najua hiyo atakua android ya promotion i mean n ya kampun fulan ya mtandao wa cm au umeinstall adsonYaani Nikisha Washa Data, Simu Inasumbua Sana, Inaleta Matangazo Mengi Mpaka Nashindwa Download Vitu, Yaani ninavyo Bonyeza Iingie Sehemu Fulani, Inaenda Kungine, Yaani Sipendi, Duh!! Haya Matangazo mi siyapendi hata kidogo
Mwafaaaa hahahahaaa........Zima data
Watu wengi mnapenda kujulisha tatizo la simu bila kutaja aina ya simu hayo matatizo kwenye simu nyingine hayapo tumechoka kuwaulizeni aina za simuYaani Nikisha Washa Data, Simu Inasumbua Sana, Inaleta Matangazo Mengi Mpaka Nashindwa Download Vitu, Yaani ninavyo Bonyeza Iingie Sehemu Fulani, Inaenda Kungine, Yaani Sipendi, Duh!! Haya Matangazo mi siyapendi hata kidogo
kuna hizi apps zinaweza kuondoa hilo tatizoMm nimeiroot cm lakini matangazo.yanakuja niweke nn ili yatoke kabisa mkuu maana yanaudhi
Sm yangu ni LG FLEX AT&T ngoja nijaribu nitaleta mrejesho
Factory reset haitoi adware..maana wanajieka kama system app ,solution ya uhakika ni kuweka rom mpya..Factory reset ,afu usidownload software's kwenye sources zisizo rasmi ,usingie site za ajabu ajabu...
Factor reset itafuta kila kitu utaanza upya...
Unatumia simu ganHabari zenu wana Jamvi.Nina tatizo moja linalonisumbua,Tatizo hili yawezekana likawepo kwenye simu za wengine pia.Simu yangu nikifungua Data na nikifungua Internet inaleta matangazo ambayo si tu yananikera kwa kuniharibia program zangu bali mengine yananitia aibu kwani inaleta matangazo ya wadada walio uchi na wengine wanasex. Naomba msaada kama kuna njia ya kuzuia matangazo haya yasitokee