barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,945
Wanajamvi,ninaomba msaada wa jinsi ya kujua namna na wapi ninapoweza kuona nyaraka nilizozipakua ktk mtandao ndani ya simu yangu,nina simu Android,lkn kila ninapopakuwa nyaraka,nikizisoma basi sizioni tena mara baada ya kusoma,hata pale ninapoziitaji baadae ni lazma nitafute na kupakua tena...Je ktk hizi simu za Android,nyaraka pakuliwa hubaki wapi???