Nawezaje kununua Internet bundle kwenye Ipad bila kuchomoa sim card ?

Nawezaje kununua Internet bundle kwenye Ipad bila kuchomoa sim card ?

Funge

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
581
Reaction score
167
Wanajamii naomba msaada wenu. Nina Ipad, na ninatumia airtel kununua internet bundle. Lakini kila ninapotaka kununua bundle lingine ninalazimika kuchomoa kadi na kuweka kwenye simu ili nifanikishe zoezi hilo. Surely, I find this boring.

Naomba msaada tafadhali kama kuna njia ya kuondoa usumbufu huu.

Natanguliza shukurani
 
Wanajamii naomba msaada wenu. Nina Ipad, na ninatumia airtel kununua internet bundle. Lakini kila ninapotaka kununua bundle lingine ninalazimika kuchomoa kadi na kuweka kwenye simu ili nifanikishe zoezi hilo. Surely, I find this boring. Naomba msaada tafadhali kama kuna njia ya kuondoa usumbufu huu.

Natanguliza shukurani

Hakuna njia nyingine yoyote zaidi ya hiyo,jitahidi tu kununua bando za mwezi kupunguza usumbufu
 
mimi ni mtumiaji sana wa tigo huenda isikubali kwa airtel.

1.mtu akuungue bundle, unaponunua bundle zinatokea option mbili nunua kwa simu yangu au nunua kwa simu nyengine chagua simu nyengine then eka namba yako

2.kujua keyword na kutuma sms ya kujiunga (sijui kama ipad inasuport sms)
 
Back
Top Bottom