Nawezaje kumtambua.......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawezaje kumtambua.......?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ISSA SHARAFI, Sep 28, 2012.

 1. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani. [HR][/HR]
  Usithubutu kumdharau mwenye shida.
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mapenzi hayana kanuni mkuu!
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee mnyime hela alafu uone...akibaki ujue waukweli
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  time will tell. Huwezi kumjua kwa siku moja
   
 5. majany

  majany JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Bado kidogo tu utaanza kuokota makopo......
   
 6. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo itachukuwa muda gani kutambua?
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  :frusty: :frusty: :frusty: :frusty: :frusty:
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280


  Relax relax relax.........usiwe na papara, ishi kama mwanaume kiongozi na wala usimtege wala usi-act maisha......Ishi uonavyo inafaa. Wewe si mtu mzima bana utajua tu baada ya muda
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jipe muda na wakati huo kaaa karibu naye sana. Usiishi naye maisha ya kuigiza, kuwa natural, ukiwa na shida mwambie na kumshirikisha na ukiwa huna shida fanya hivyo hivyo. Utamgundua tu maana tabia ni kama kikohozi, hakifichiki.
   
 10. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ni ngumu sana kumjua mpenzi wa kweli kwa nguvu na uwezo wako wa kibinaadamu, mshirikishe Mungu naye atakuonesha yupe mkweli na yupi msanii.
   
 11. L

  Luggy JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 2,113
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  hebu rejea maelezo ya platozoom unaweza ukawa mwanzo wa wewe kusaidika,ila kwa msaada halisi fuata maelezo ya WALIMWEUSI
   
 12. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Mimi naona pia umri wa mtu unaweza kuchangia kwa kiasi gani anaweza kuwa na upendo unaohitaji.. just assume ni mwanachuo halafu hana mkopo!
   
 13. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  we mwambie alipie bili,kwa mfano mkitoka outing n.k!!hicho kipimo tosha
   
 14. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwanza inatakiwa na wewe mwenyewe uwe na mapenzi ya kweli then ndo utampata mwenye mapenzi ya kweli, otherwise ni kwa rehema za Mungu na kwa kukesha na kuomba
   
 15. M

  Madewa JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 350
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa,ili upate mwenye mapenzi ya kweli,lazima na wewe uwe na mapenzi ya kweli.
   
 16. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wewe unaonesha upendo kwake?
   
 17. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  inategemea unataka mapenzi ya kweli ya % ngapi. Manake mapenzi ya btwn 90% and 100% HAKUNAGA.
  wengi wetu tuna mapenzi ya kuigiza ambayo yamelalia ktk 40% to 50%, range ambayo wengi wetu ni wahanga.
  Ni nadra sana kupata mapenzi ya kweli ktk range ya 80% and 89%. Ukosefu wa maadili na kumkimbia Mungu na kumkumbatia shetani ndo sababu kuu ya sisi kukosa hilo daraja la 80% na 89%. Mapenzi ya kweli yanaanzia KWAKO! Kama huna mapenzi ya kweli USITEGEMEE mwenzi wako awe nayo. Hiyo itakuwa CHICKENSHIT kama siyo BULLSHIT!!

  source ya takwimu:genderbalance.co. tz
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,820
  Trophy Points: 280
  Ukimpata utamtambua tu na hakutakuwa na sababu ya kuulizia kama ndiye au siye.  "Wide Awake"

  I'm wide awake
  I'm wide awake

  I'm wide awake
  Yeah, I was in the dark
  I was falling hard
  With an open heart
  I'm wide awake
  How did I read the stars so wrong?
  I'm wide awake
  And now it's clear to me
  That everything you see
  Ain't always what it seems
  I'm wide awake
  Yeah, I was dreaming for so long

  [Pre-Chorus]
  I wish I knew then
  What I know now
  Wouldn't dive in
  Wouldn't bow down
  Gravity hurts
  You made it so sweet
  'Til I woke up on
  On the concrete

  [Chorus]
  Falling from cloud 9
  Crashing from the high
  I'm letting go tonight
  Yeah, I'm falling from cloud 9

  I'm wide awake
  Not losing any sleep
  I picked up every piece
  And landed on my feet
  I'm wide awake
  Need nothing to complete myself, no

  I'm wide awake
  Yeah, I am born again
  Out of the lion's den
  I don't have to pretend
  And it's too late
  The story's over now, the end

  [Pre-Chorus]
  I wish I knew then
  What I know now
  Wouldn't dive in
  Wouldn't bow down
  Gravity hurts
  You made it so sweet
  'Til I woke up on
  On the concrete

  [Chorus]
  Falling from cloud 9 (it was out of the blue)
  I'm crashing from the high
  I'm letting go tonight (yeah, I'm letting you go)
  I'm falling from cloud 9

  I'm wide awake
  Thunder rumbling
  Castles crumbling
  I'm wide awake
  I am trying to hold on
  I'm wide awake
  God knows that I tried
  Seeing the bright side
  I'm wide awake
  But I'm not blind anymore...

  I'm wide awake
  I'm wide awake

  [Chorus]
  Yeah, I'm falling from cloud 9 (it was out of the blue)
  I'm crashing from the high
  You know I'm letting go tonight (yeah, I'm letting you go)
  I'm falling from cloud 9

  I'm wide awake
  I'm wide awake
  I'm wide awake
  I'm wide awake
  I'm wide awake

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mwambie huna pesa tu lol
   
 20. V

  Victor Jeremiah Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dont date a student
   
Loading...