nawezaje kumsahau mzazi mwenzangu

nawezaje kumsahau mzazi mwenzangu

mawanjeni

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
40
Reaction score
7
nilizaa na mwanaume mmoja miaka mitano iliyopita tulizaa mtoto wa kiume ambaye alifanana na baayake sana, story yangu ni ndefu ila yule mwanaume aliniacha kwa matusi , na vituko kibao, ila aliendelea kumuhudumia mwanae kwa kunitumia hela pia aliendelea kunipigia sim za kumjulia mwanae hali ilifika wakat baada ya miaka miwili alitaka kuja kumuona mwanae nilimruhusu na anafanya hivyo kila mara natamani nataman kumsahau ila nashindwa kwan nadhan kumsahau natakiwa nikate mawasiliano nae na nisimuone tatizo nikifanya hivyo nn hatima ya mwanangu pia tatizo sura yake bado naiona kupitia mwanangu huyu, nikimnyima asimuone mtoto itakuwa sawa waungwana naomba mnisaidie nifanyeje nimsahau huyu mzazi mwenzangu ambaye kila nikimuona naumia
 
Kama mtoto ana miaka 5 mwachie baba ake aendelee kumtunza wewe jipange upya kimaisha
 
Usijiliazimishe kumsahau.

Wewe jikite na shughuli na mambo yako na pole pole ataanza kuondoka kwenye fikra zako.
 
never ever huwezi kumsahau mzazi mwenza
 
You don't need to forget him, but you need to control your feelings towards him. Just know that hana thamani ya mawazo yako, muda wako na wala thamani ya penzi lako.
 
nilizaa na mwanaume mmoja miaka mitano iliyopita tulizaa mtoto wa kiume ambaye alifanana na baayake sana, story yangu ni ndefu ila yule mwanaume aliniacha kwa matusi , na vituko kibao, ila aliendelea kumuhudumia mwanae kwa kunitumia hela pia aliendelea kunipigia sim za kumjulia mwanae hali ilifika wakat baada ya miaka miwili alitaka kuja kumuona mwanae nilimruhusu na anafanya hivyo kila mara natamani nataman kumsahau ila nashindwa kwan nadhan kumsahau natakiwa nikate mawasiliano nae na nisimuone tatizo nikifanya hivyo nn hatima ya mwanangu pia tatizo sura yake bado naiona kupitia mwanangu huyu, nikimnyima asimuone mtoto itakuwa sawa waungwana naomba mnisaidie nifanyeje nimsahau huyu mzazi mwenzangu ambaye kila nikimuona naumia
Kama mambo yanajadilika kaeni chini mzungumze mrudiane kwa ustawi mzuri wa huyo mtoto maana divorce nyingi sana matatizo huwapata watoto nina imani hata nyinyi mlipata maleze bora ya mama na baba ndiyo maana leo mpo vyema hivyo basi waswahili wanasema kuanza upya siyo ujinga nakutakia kila la kheri na mungu akubariki sana
 
Kwani unataka umsahau ili iweje? Na unaumia kivip yaani unatamani kurudiana naye au kunasehemu hamuelewani. Kwanza hongera kwa kuwa na mzazi mwenza anayejali mtoto wengine wanalia tu. Ila kama bado unampenda basi ongea naye muanze upya maana kimaadili siyo vema mwanao akuwe akiwa anaona jinsi unavojirusha na mabwana wengine mbeleni itakuja kumuathiri kisaikolojia japo kwa sasa ni minor issue.
 
haiwezekani kumsahau - badili tu mtazamo na hisia, njia rahisi ni kusahau maumivu, kuacha kumsema vibaya na kutomchukia
 
Sijaelewa ktu,,yani unakumbuka jinsi alivyokua anakukuna ama?
 
Unamanisha unampenda bado lkn yeye hawezi jalishwa na maumivu yako jitahidi kumtoa moyoni mwombe mungu akusaidie
 
duuh pole sana,tafuta mwanaume mwingine .ila awe anakupenda kweli hope utasahau
ila ukiwa alone huwezi
 
Kumsahau itakuchukua muda sana, kwani mpaka sasa ni miaka 5 kama sikosei, lakini bado haujamsahau kutokana na mawasiliano mlio nayo au mfanano uliotokea kwa mwanenu.

Ila chamsingi ni kujikeep busy na ukipata nafasi ya kupumzika jaribu kubadilisha mazingira,
hii itakufanya upunguze zile fillings zinazokujia mara kwa mara.

Au kama kumfikiria kwake sio kubaya huna budi kuziruhusu fillings zako.
 
Kama hajaoa na wewe hujaolewa" ni time ya kuongea na kurekebisha mapungufu yenu! Ili muweze kumlea mtoto wenu pamoja.
 
Deeply from your heart , it seems need him ,

Ulikuwa unajaribu kuandika kitu gani? Rudia kuiandika kwa Kiswahili.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwenzio kakosea kiduchu hapo
Lakini siushaelewaaaa? Lol
 
Shosti Huyo bwana ebu mfanye Kama vile mzazi mwenzio tuu,na usizidishe ebu kumbuka alivyokuchamba bado unataka tena? Songa mbele shosti muchukulie Kama kiumbe cha kawaida na mshipa wala usikugonge...
 
Kiundani bado mnapendana. Kaeni chini mmalize tofauti zenu na penzi litafanyika kwa upya wa ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom