Nawezaje kumpa mtu link

Nawezaje kumpa mtu link

Cheki huu mfano hapa

HAPA

then hapo kwenye mabano ya ( )
badili yawe [ ]
hapo ningeweka moja kwa moja
mabano ya [ ] ucngeona,
badala yake ungeona neno HAPA
hlf hilo neno litakuwa
highlighted na ukilibonyeza
lingekupeleka jamiiforums
nadhani nime eleweka jaribu
then uniweke hapa nione kama
umeweza!
 
jamani natumia simu ila sioni mafanikio..

HAPA [www.jamiiforums]
 
Back
Top Bottom