mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Inategemea ww ulisoma miaka gani ila kwa siku hizi practical si sana hadi wafike viwandani ndio hujifunza kazi kivitendo zaidi.Kwa vyuo vya ufundi kama practical znapgwa kweli si mchezo ndo mana nkauliza hvyo mana hata mimi natokea huko nlichukua mech eng
Mkuu unauhakika?Kuna module za designing kama machine element na mechanical engineering scienceAnaitwa fundi sanifu wapo wenye hobby ya kudesign hujifunza wenyewe kwa muda wao.
Hiyo haiitwi design,ni machine elements ambayo ni maandalizi tuMkuu unauhakika?Kuna module za designing kama machine element na mechanical engineering science
practical kweli tumefanya nyingi, ila kusema kwamba una experience kwenye vitu vyote, inaweza isiwe kweli... labda kama ulikuwa na maana nyingine ulipoongelea experienceKwa vyuo vya ufundi kama practical znapgwa kweli si mchezo ndo mana nkauliza hvyo mana hata mimi natokea huko nlichukua mech eng
practical kweli tumefanya nyingi, ila kusema kwamba una experience kwenye vitu vyote, inaweza isiwe kweli... labda kama ulikuwa na maana nyingine ulipoongelea experience
Achaga dharau bhana.Ku design mifumo ni kazi ya injinia sio fundi mchundo (diploma holder).
Refrigeration tumeshasoma, air condition ndo tupo nayo tunamalizia semista hii ya mwishoVipi refrigeration na air condition umesoma?
Na me ndo nimepata utata. Nafikiri somo la ujasiriamali liwe la lazima katika kila kozi hapa nchini kuanzia ngazi ya cheti mpka uprofesa. Hii itamsaidia mhitimu kufahamu jinsi ya kuingiza pesa kutokana na elimu yake.Sorry, kama nitakua natoka nje ya mada BUT swali hili ulitakiwa kujiuliza toka siku ya kwanza wakati unafikiria usomee nini diploma ingekurahisishia kujua unapoingia msituni ni mnyama gani unamuwinda. Ila haujachelewa nice move wadau watakushauri mambo mazuri tu hapa!
Na me ndo nimepata utata. Nafikiri somo la ujasiriamali liwe la lazima katika kila kozi hapa nchini kuanzia ngazi ya cheti mpka uprofesa. Hii itamsaidia mhitimu kufahamu jinsi ya kuingiza pesa kutokana na elimu yake.
Haiwezekani mtu asome mechanical enge (kozi ya vitendo na ubunifu) halaf asifahamu kitu cha kufanya!!!!
Of course mtaani ni sawa, ila shida yake ni kwamba unapoanza wana kutreat sawasawa na mafundi wa mtaani ambao wengine hata kusoma hawajui, mpaka uwe fundi expert utakuwa ushapigika hatar, kikubwa hata kama nikiingia mtaani atleast niwe na kitu cha kuniingizia hela.. Na unajua elimu yetu hii huwezi kujiita fundi expert hata kama ulikuwa unapata A.. mtaani ni kitu kingineIngia zako mtaani kisha ingia garage za mtaani vyeti vyako weka pembeni kipindi icho,kisha baada ya miezi kadhaa nenda kwenye makampuni makubwa kama yale ya kusafirisha Mafuta,kaombe kazi tena hapo utakuwa ni mzuri sana kwakuwa ulipitia mtaani,Hapo lazima ulambe kitengo kikubwa utakuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kuagiza kwa wale wafundi wadogo wadogo kuhusu kuwapangia kazi wewe