nkosikazi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 361
- 337
Nimeibiwa galaxy note yangu muda umepita. Jitihada za kuipata zimeshindikana. Aliyeiiba alishindwa kupita kwenye security system yangu, so akaiweka on na nikaongea naye. Akanipa namba ya tigo nimtumie hela anirudishie simu yangu.
Hakutokea na akazima simu yangu na yake. Niliripoti cyber police lakini wakawa wanataka rushwa kubwa sana kabla ya kudeliver. How do I get my phone? Ina mambo mengi sana sana!
.
Hakutokea na akazima simu yangu na yake. Niliripoti cyber police lakini wakawa wanataka rushwa kubwa sana kabla ya kudeliver. How do I get my phone? Ina mambo mengi sana sana!
.