Mimi ninatumia hiyo simu, zile za tigo. Line ya chini hukati unaiingiza kama ilivyo, lakini upande wenye kile kisehemu cha kung'aa uwe juu. Line ya pili unaikata na kuiweka tundu la juu huku ile sehemu ya kung'aa ikiwa chini.
Otherwise rudi ulipouziwa ili wakusaidie
Nami na tatizo kama hilo, nina miezi miwili nimeinunua, juu nikaweka nikaweka laini ya tigo, lkn kabla ya kuiweka nikashauriwa kuwa ikatwe ndo itafiti na kuweza kufanya kazi, kweli ikafanyakazi vizuri tu,
tatizo ikawa laini ya pili, ambayo iligoma hadi sasa, nilienda kwa watu wa airtel wakanambia niwaone watu wa tecno, nao wakashindwa, wakataka nirudi tena airtel, nikaona huu ni upuuzi,
nikanunua simu nyingine kwa ajili ya laini hiyo ya airtel, hadi mda huu natumia laini moja katika hii hsix, wenye kuelewa watujuze tafadhari.
na mimi nimeikata lakini bado nikiwasha sim inaonesha no simcard detected.msaada zaid jaman au kuna settings hazijakaa vizur?
na mimi nimeikata lakini bado nikiwasha sim inaonesha no simcard detected.msaada zaid jaman au kuna settings hazijakaa vizur?
ndg zangu mlionipa maelekezo nawashukuru sanaaa maana sim imekubali na inapiga mzigo vzr sana. God bless you!
Mkuu H6 umenunua kwa bei gani?
Wanajamvi salam! Nimenunua tecno h6 ambayo imatumia dual simcard lakini nimeshindwa kuweka hizo line maana hata sehemu ya kuweka laini inaingia nusu laini moja! Wapendwa naomba msaada jinsi ya kuweka hizo laini mbili.
Natanguliza shukrani:
H6 ni sh 180,000/,nenda kanunue mkuu.