Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
Natumaini wana jf ni wazama wote wa afya
Nilikuwa naomba kujuzwa jinsi ya kufungua blog kwenye simu ya android
Anaye fahamu anielekeze nipo serious hata pm akija fresh lakin hapa ingekuwa powa ili na mwingine ajue
Siku nikiwa na PC nitaihamishia
Karibuni!!...