Nawezaje kubadili Imei namba?

geraldincredible

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,508
2,000
Wakuu nina simu yangu samsung note 5, nataka nibadili imei namba nipeni ujuz jinsi ya kufanya. Nimesaidiwa mengi jukwaa hili hope na hili nitasaidiwa.

Natanguliza shukrani.

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,967
2,000
Ni kosa kisheria, fine yake ni 5 milion na kifungo kwa fundi.

Kwa maana hiyo sio biashara ya kwenda tu kkoo nakusema unataka kuifanya hutapata fundi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom