Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,104
- 10,601
Pole mkuu maisha haya wengine tunaishi hata Mungu akiangalia tu Anatusamehe maovu yetu.Yaliyonikuta kwenye maisha yameumiza moyo na nafsi yangu. Leo sitosimulia mkasa wa maisha yangu.
Maamzi niliyofanya nime relocate mkoa kuanza maisha mapya. Mkoa huu Sina ndugu ila that day nashuka stend nlimfuata Mzee mmoja tuliekua tumepanda bus moja. Nikamweleza Mzee naomba uniamini, ni mara ya kwanza ndo nafika kwenye mji huu, simjui mtu, na Sina pa kufikia. Nakamuomba anihifadhi, Mzee aliniangalia Kwa Dk kazaa akiwa ananisikuliza nikijieleza na huku amenikazia macho na kuusoma uso wangu and all my body language, akanijibu nifuate.
Aliita tax akamuelekeza driver eneo analoishi na safari ikaanza. Baada ya kama dk 15 tukaingia mtaa flani, una miti mingi, eneo tulivu halina harakati nyingi . Tax ikasimama kwenye nyumba, tukashuka na kuingia kwenye makazi hayo .
Kumbe Mzee ni police mstaafu, anaishi anaishi na familia yake ndogo. Home alikuwepo mkewe, na dada ake , wote watu wazima, na wajukuu wawili. Vijana wao wana maisha yao mikoa mingine. Kulikua na nyumba kubwa na ingine ndogo. Ile ndogo alikua anishi shamba boy. Baada ya utambulisho-mfupi Mzee akasema tutakua na mgeni huyu Kwa siku kadhaa, badae akanitambulisha Kwa shamba boy na kusema mtakua mnalala huku.
Kufupisha mkasa huu, Mzee na familia yake wamekua wakalimu. Nilipata fursa ya kumuuleza Mzee my profile and background. Kiufupi ni msomi wa level ya degree ila ndo hizi course ambazo mtu una graduate afu ukifika kitaa wewe mwenyewe ukijiuliza ulisomea nini unapata shida kupata jibu clear. Tuachane na Hilo.
Ki personality sababu ya kupigwa na maisha na changamoto za maisha nimekua introvert pro. Mkimyaa sana, usipoanzisha story hainisumbui kubaki kimyaa. Kiukweli sio kuwa ni ujeuri , ila nikiwa kimyaa najiona Niko safe zaidi ya kufungua kinywa changu .
Kwa utangulizi huu naomba Nije kwenye hoja ya msingi. Nifanyaje ili niweze kuanza maisha mapya kwenye mji mgeni kwangu, bila network ya marafiki, ndugu na jamaa. Kwa wale waliowahi pitia scenario kama hii mliwezaje kupata marafiki wapya, mambo gani ya kuzingatia unapokua ugenini Kwa watu baki waliokuamini. Njia gani za kutumia kuongeza network?
Kuna stress naipitia hadi akili haifikiri vizuri. JF naombeni muongozo
AsanteDa pole,anzia hapo hapo home tafuta eneo jirani lima mboga za majani kauze mjini au uzia majirani ukuze mtaji
Najitahidi kufanya kazi ili jioni nisione nimekula msosi wa bureKazi ni kipimo cha utu
Nimekumbuka jinsi nilivyolala chini ,godoro nimelijua baada ya kwenda Advance,sonona imetafuna mpk ikaamua kuondoka yenyewe! Piga kazi bro ,acha ubishoo ,kuwa msikivu, piga x starehe. Utatoboa tu!Asante mkuu. Mzee pia anafanya business za mazao , na hapo home Kuna store, magari yanashusha mazao mara nyingi, nimekua najiongeza sana kubeba na kupangilia magunia. Jioni unala mgongo hoi
Unamaanisha nn mkuuPole mkuu maisha haya wengine tunaishi hata Mungu akiangalia tu Anatusamehe maovu yetu.
Usipokuwa na msaada jitahidi kutotuumiza tunao hitaji msaadaVuta bange ulale
Asante, napambana mkuuPole sana mkuu
Kila la heri mkuu yote yatapita kikubwa uwe na nidhamu na hapo unapoishiAsante, napambana mkuu
Asante mkuu Kwa kunitia moyoNimekumbuka jinsi nilivyolala chini ,godoro nimelijua baada ya kwenda Advance,sonona imetafuna mpk ikaamua kuondoka yenyewe! Piga kazi bro ,acha ubishoo ,kuwa msikivu, piga x starehe. Utatoboa tu!
Kila la heri mkuu yote yatapita kikubwa uwe na nidhamu na hapo unapoishiAsante, napambana mkuu
Yes, Niko mtulivu , tatizo ukimyaa wangu pia najiona mgeni Kila sikuKila la heri mkuu yote yatapita kikubwa uwe na nidhamu na hapo unapoishi
Pole sanaUsipokuwa na msaada jitahidi kutotuumiza tunao hitaji msaada
unajua kwanini upo hapo ulipo sasa? Jibu ni kwa sababu ulivunja ukimya ukaamua kuzungumza na huyo mzee aliekusaidia baada ya kukusikiliza.Yes, Niko mtulivu , tatizo ukimyaa wangu pia najiona mgeni Kila siku
Asante Kwa mtazamo wako ila kwangu simu ndo tool nimehifadhi taarifa nyingi. Hata hivyo sio muda wote naitumia. Kwa week naweza itumia Kwa masaa kadhaa tu. Nimebadiri namba ya simu sitaki watu wanitafuteUza simu Anza buashara ndogo ndogo kjana.hiyo smart yako ni mtaji tosha
Usijali mkuu.Pole sana
Ni kweli, nimeelewa mtazamo wako chanya.unajua kwanini upo hapo ulipo sasa? Jibu ni kwa sababu ulivunja ukimya ukaamua kuzungumza na huyo mzee aliekusaidia baada ya kukusikiliza.
Kuna la kujifunza kwenye hili tena kubwa na la muhimu mno.
Kuna muda unakosa fursa na kusaidika kwa sababu ya ukimya, kujifungia ndani. Na hii ni mbaya sana kwa kijana.