CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Ni ngumu kidogo kuielezea,ila jitahidi wakati wa kulala uwe unalala ukiwa umenyoosha miguu,na hata iweje usikunje miguu yako.Unaweza kulala ubavu,ukalalia tumbo au hata kulala chali ila kikubwa tu hakikisha miguu yako imanyooka nadhani tatizo linaweza kuisha au kupungua.Na hapohapo utakuwa ukizawadiwa ndoto nzuri ukipaa kama ndege angani.........
Mkuu inavyoelekea mwishoni utamwambia ajipige pingu.
Afuate tu ushauri wangu hapo juu!
Shemejiii !
Kwanza pole.
Pili , kikanuni hakunaga nitedress za lon-sleeve!
Kiukweli shem ndy kusema unalalaga na suti !
Ni ngumu kidogo kuielezea,ila jitahidi wakati wa kulala uwe unalala ukiwa umenyoosha miguu,na hata iweje usikunje miguu yako.Unaweza kulala ubavu,ukalalia tumbo au hata kulala chali ila kikubwa tu hakikisha miguu yako imanyooka nadhani tatizo linaweza kuisha au kupungua.Na hapohapo utakuwa ukizawadiwa ndoto nzuri ukipaa kama ndege angani.........
Pole mamie......watapita tu wajuzi wa mambo wakusaidie
Tengeneza deka ulale huko juu.Hii ni njia salama ya haraka ya kujifunza kulala vizuri.ie usiweke chandarua
tafuta watu wawili ulale nao, wakuweke mtu kati
hee..kwa ushauri huu lazima aumie