Nawezaje kuacha tabia hii¿¿¿????

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Mu-hali gani wana Chit chat???

Mwenzenu hii tabia inanikera niaje, kwa takribani miaka saba nimekuwa nikilala kwenye vitanda vikubwa vyenye kati ya futi 5-6.

Tatizo ni kwamba hata nilale katikati ya kitanda asubuhi nitakuta nimelala pembezoni kabisa karibu kuanguka ila chandarua ndo huwa kinanisaidia. Pia kama kamba ya chandarua ni legelege huwa najikuta nimejifunika chandarua yaani imekatika.....

Inanilazimu kulala na nightdress za mikono mirefu ili nising'atwe na mbu maana huko pembezoni mbu husherehekea sana kuning'ata.

Nifanyeje ili iwe nalala vizuri.????!
 
Ni ngumu kidogo kuielezea,ila jitahidi wakati wa kulala uwe unalala ukiwa umenyoosha miguu,na hata iweje usikunje miguu yako.Unaweza kulala ubavu,ukalalia tumbo au hata kulala chali ila kikubwa tu hakikisha miguu yako imanyooka nadhani tatizo linaweza kuisha au kupungua.Na hapohapo utakuwa ukizawadiwa ndoto nzuri ukipaa kama ndege angani.........
 
All you need is somebody like Arushaone who will take care of you all night long.
BTW how come you sleep alone bhana?
 
Ni ngumu kidogo kuielezea,ila jitahidi wakati wa kulala uwe unalala ukiwa umenyoosha miguu,na hata iweje usikunje miguu yako.Unaweza kulala ubavu,ukalalia tumbo au hata kulala chali ila kikubwa tu hakikisha miguu yako imanyooka nadhani tatizo linaweza kuisha au kupungua.Na hapohapo utakuwa ukizawadiwa ndoto nzuri ukipaa kama ndege angani.........

Mkuu inavyoelekea mwishoni utamwambia ajipige pingu.

Afuate tu ushauri wangu hapo juu!
 
Ni ngumu kidogo kuielezea,ila jitahidi wakati wa kulala uwe unalala ukiwa umenyoosha miguu,na hata iweje usikunje miguu yako.Unaweza kulala ubavu,ukalalia tumbo au hata kulala chali ila kikubwa tu hakikisha miguu yako imanyooka nadhani tatizo linaweza kuisha au kupungua.Na hapohapo utakuwa ukizawadiwa ndoto nzuri ukipaa kama ndege angani.........

Asante kwa ushauri nitazingatia....
 
Tengeneza deka ulale huko juu.Hii ni njia salama ya haraka ya kujifunza kulala vizuri.ie usiweke chandarua

Mi nilijifunza kulala kwa heshima kipindi nilipokuwa nalala juu ya ukuta,na mpaka leo nina adabu ajabu katika kulala na usingizi utakaponichukua ndio nitakapoamkia, sisogei hata sentimeta moja...
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom