Nawezaje kuacha tabia hii mbaya?

Wataalamu wa magonjwa wa akili wanasema kichaa akianza kujishtukia ujio yupo mbioni kupona, hadi umelileta tatizo lako humu ni wazi upo tayar kujikaza upishanapo na mwanamke usigeuke tena kumwangalia, hata kwenye side mirror pia usiyaangalie maumbile yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…