Nawezaje kuacha tabia hii mbaya?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,241
Reaction score
138,764
Mara nyingi nikipishana na msichana nisiyemfahamu lazima nigeuze shingo kumtazama kwa nyuma.Ni wengi wenye tabia hii mbaya,tabia inatupotezea mda sana hata kusababisha ajali.Hata nikiwa kwenye gari lazima nimtizame kwenye kioo.Tunawezaje kuepuka hili wataalam wa mambo ya saikolojia?
 
Mkuu pole sana wengi tupo ivyo ila kwako yamezidi sana labda uwe unajiweka busy kwa kile unachofanya kwa wakati huo
 
Tengeneza album ya picha za wanawake 300 wa kila aina black, white, red, fat, [emoji41] [emoji41] thin. Flat uwe unaziangalia kila siku asubuhi na Jioni kwa mwez 1.
Ulete mrejesho[emoji122] [emoji122]
 
Ukipishana nae assume kuwa umeshageuka kumuangalia lakini bila ya kugeuka
 
Enzi zetu tulikuwa tuki toka tutation tuna pozi corridor ya Posta mpya na ziro brain
 

lazima ugeuke tuuu....ila hilo ni pepo tafuta viongozi wa dini wakuombee
 
Kama vipi kwa urahisi iache shingo nyumbani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii ni post yako... !?? Au hacked!??
 
Usishie kutazama.. washike kabisa nafsi isuzikee..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…