squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Habari zenu wana jukwaa?
Nimetokea kuipenda sana kazi ya hii app ya photoshop ila sina ujuzi nayo. Ni vipi naweza jifunza jinsi ya kucheza na effects zake? Yaani niwe mtaalam wa photoshop. Najaribu kujisomea youtube ila kama haipandi.