Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

Unatukana ukiwa umelewa i feel bad
Acha pombe au ukinywa jifungie ndani ukilewa lala, hii tabia ni ya hovyo sana mkuu.
Kuna jamaa alinunuliwa pombe na bosi wake baada ya kulewa kaanza kumtusi bosi, bosi akavumilia maana ilikuwa 1st time, ikajirudia mara 5 bosi akamfukuza kazi.
 
Noma aise nakua mtu wa kuongea hovyo hovyo na kutoa siri mixer kujifanya nina hela wakati ni hizi za kusubiri mwisho wa mwezi
 
Kwanza unaye wa kumlaumu bwana GAMBE. Pili kama limetokea hakuna namna kurudisha nyuma. Tatu na la msingi we songa mbele, kama ulitukana ukiwa umelewa usiombe cha msamaha wala nini we kausha songa mbele jimix endelea na maisha.

Halafu jua kiasi chako cha pombe. Kama unapiga pombe kali lazima ndio zitakua zinakuzingua. Hamia bia ingawa nazo zinachelewesha sana.....

Olo in olo usijutie sana songa mbele
 
Kali nafuta chupa ya 750 mwenyewe baada ya hapo nakua nusu chizi. Bia sipendi
 
Pombe ishaniletea aibu kibao kufikia hatua ya kutoka nje uchi kwenye nyumba za kupanga! Kukojoa kitandani,, wife kashanichoka basi tu anavumilia
 
In my early 40s
Kaka kwa umri huo punguza tu pombe maana watoto ndio wanapata akili na wakiona mshua anaharibu nao unawaharibu kisaikolojia. Pia magonjwa ya ini na figo siku hizi mengi kwa kuwa pombe feki nyingi na tunakunywa hovyo bila kula.....

Pole sana kwa hizi changamoto.

Jitahidi uanze kupunguza kiwango
 
Back
Top Bottom