Naweza pata kazi Tanzania?

Naweza pata kazi Tanzania?

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,428
Hili ni swali nalokutana nalo kila siku napoongea na Wakenya katika mihangaiko yangu hapa Nairobi.Hivi huko Bongo mkikutana na Wakenya huwa mnawauliza nini?
Nipo hapa Natural Heritage iliyopo Kenyatta Market naangalia Man U wakicheza na Wigan wakigombea ngao kabla ya ligi kuanza rasmi wiki ijayo.
 
huwa tunawauliza kama mitaa gani ya naiii tunawezapata manzi wanono...eti wanasema ukisongesha maeneo ya westlands huko ndio kuna wasupuu wanaobamba
 
Back
Top Bottom