memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 252
- 153
Salam wakuu, nina kibanda changu nimesuka wiring ili nipate huduma ya umeme kutoka TANESCO toka mwezi wa tisa mwaka jana 2021 mpaka leo hata control number sijapewa ili nilipie mpaka umeme umepanda sio case sana!! Wakiamua wenyewe watakuja.
Naomba kujua kama naweza kutumia wiring hii hii niliyofanya niunge solar panel kwenye zile wire za kupokelea umeme niendelee kula maisha na vipi kuhusu hii main switch na kile kiblaker chake.
Naomba kujua kama naweza kutumia wiring hii hii niliyofanya niunge solar panel kwenye zile wire za kupokelea umeme niendelee kula maisha na vipi kuhusu hii main switch na kile kiblaker chake.