Nimesoma sehemu kuwa mmea huo una protini nyingi kwa kulisha mifugo, hasa wanyama wanaocheua.
Sijaona sehemu wanapoelezakuhusu wanyama wengine.
Je, inafaa pia kwa kulisha nguruwe na akapanufaika kwa protini iliyomo?
Wanyama wanaocheua wana kula na kumeza wanapocheua wanakisaga zaidi walichokula na kukimeza tena kupeleka kwa tumbo maalum na huko kuna bacteria maalum ambao hula kile kilichomezwa na kukivunja kitoe hiyo protein na vitu vingine. Nguruwe hana uwezo huo, utamuua. Lakini uliza wataalamu.
Nimesoma sehemu kuwa mmea huo una protini nyingi kwa kulisha mifugo, hasa wanyama wanaocheua.
Sijaona sehemu wanapoelezakuhusu wanyama wengine.
Je, inafaa pia kwa kulisha nguruwe na akapanufaika kwa protini iliyomo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.