Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

nina d link wireless N150 router, haina sehemu ya kuweka modem. nifanyaje kupata net
 
Mkuu nakushauri tumia simu mi natumia tecno 635 ni ndogo tu ina 3G tena kama upo Dar bei chee saana hiyo simu huku kwetu Mpanda-Katavi ni Tsh.80,000/= haitaji kuinstall pc suite wala nini? weka cable yake ile ya chaji itakupa options kibao pale changua internet,speed nzuri saana.

sku hizi mpanda kuna 3G kaka? maana maisha ya huko yalinishinda kwa sababu ya internet tu
 
Habari wana JF hivi ni kifaa kipi cha internet kinachofaa kwenye computer zaidi ya moderm yakawaida, maana moderm yangu inanisumbua sana.

ungeliweka wazi zaidi. inakusumbuaje modem? maana modem ndio kifaa rahisi kutumia kuliko vifaa vyote. ni rahisi kutumia na bei pia ndio rahisi kuliko device zote zilizotajwa hapo juu
 
mkuu katika laptop wifi sijafahamu wapi nitaipata ili nayenyewe niiwe on msaada tafadhali
 
Kwa kifupi hauwezi kupata internet kwenye computer yako bila modem,computer ina elewa mfumo wa kidigits tu wakati signal zinokuwa transmitted over the telephone lines ni analog so lazima uwe na modem ya kuweza kuconvert digital<=>Analog,Labda ulikuwa unamaanisha utumie modem ya aina gani tofauti na hiyo uliyokuwa unaitumia?
 
dah wewe unashida kama yankwangu senior mm nilikua nataka vile conector wanazo tumia katika internet cafe ila cjajua inakuaje vile
😛oa
 
Geuza simu yako kugawa Wireless.
Ni verry simple.
Kama anatumia simu yenye Adroid System, basi nenda setting kisha Tafuta Portable Wife , kisha Configer portable wifi, jaza jina unalolipenda la wireless network yako kisha weka password ,baada ya hapo Rudi nyuma ,weka Portable wifi On,kwa kuweka alama ya tiki,Kisha washa wireless kwenye laptop na connect network.

Nimeandika Simple nikiamini huwenda simu unayotumia setting itakua tofauti lakinu huo ni muongozo .

Ukipata shida weka hapa ni simu gani unatumia (Adroid Version ipi ?).

asante mkuu
 
Ahsante sana mkuu kwa Maelezo yako, nimejaribu kufuata maelekezo yako kwenye simu yangu ya Vodafone 875 yenye android version 4.11 lakini nashindwa kupata hzo njia ulizosema. Je tatizo ni lipi mkuu ?????

Pili kaka je sijui unafahamu namna ya kutumia simu kama kifaa cha internet kwa kutumia USB cable ????

Ahsante !!!!!!

Vodafone ipo vizuri sana fungua menu ya cm yako bonyeza hotspot ikiwaka kama hujabadilisha password huwa ni 1234567890 weka hiyo kwenye laptop yako inapodai kujaza kwenye wireless ipo speed utafurahia..!!
 
Back
Top Bottom