Naweza kusoma Udereva kwa Leseni hii

Osea lenes

Member
Jun 25, 2021
6
2
Naomba kuuliza. Kwa mtu mwenye leseni class c1, c2, c3 ambayo aliinunua yaani hana cheti cha veta, je akihitaji kwenda kusoma kozi ya basic driving ili apate cheti anaruhusiwa???
 
Kama una leseni nenda driving school au veta lipia, unasoma unachukua cheti. Full stop hauombi leseni maana unayo.
 
Back
Top Bottom