Naweza kusoma Udereva kwa Leseni hii

Naweza kusoma Udereva kwa Leseni hii

Osea lenes

Member
Joined
Jun 25, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Naomba kuuliza. Kwa mtu mwenye leseni class c1, c2, c3 ambayo aliinunua yaani hana cheti cha veta, je akihitaji kwenda kusoma kozi ya basic driving ili apate cheti anaruhusiwa???
 
Hakuna kinachoshindikana
Naomba muongozo kidigo kama unafahamu, nifanyaje, maana nimeshalipa ada wakanambia et nina leseni kubwa kwahy sheria haziwaruhusu mm kusoma basic driving
 
Kama una leseni nenda driving school au veta lipia, unasoma unachukua cheti. Full stop hauombi leseni maana unayo.
 
Back
Top Bottom