Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,908
- 31,581
Kwa nijuavyo mimi matokeo ya form 4 muhimu unapotaka kusoma degree.Ndio unasoma vzuri kabisa. Unaanzia Certificate.
DMI wanakupokea vizuri tu.
Huwezi kuwa na F kwenye math ukakubaliwa kusoma Computer Science hata uanzie certificate , diploma kisha degree.
Akibahatika kupata nafasi hiyo atateseka sana na hesabu kwenye hiyo kozi huko University.
Akasomee vitu vingine au angalau IT anaweza akafanikiwa kufaulu.
Note: kuna tofauti kati ya IT Course na Computer Science Course kwa level ya degree.