Naweza kupata mkopo kwa dhamana ya vyeti?

Nchi za wenzetu inakubalika. Ila kwa tanzania sijawahi kuisikia. Kumbuka hakuna dhamana ngumu kama vyeti. Wengine wanaweka hadi hati za kusafiria pamoja na vyeti au documents zote orijino. Inafika mahali unajuta maana inatokea dharura flani yakusafiri nje unashindwa.
Mi nikiwa chuo na mpaka sasa nilikuwa nakopesha mikopo midogo midogo na dhamana ilikuwa vyeti. Mmoja aka default nimezuia vyeti mpaka Leo na fursa zilitoka za ajira akawa hana vyeti. Kurudisha siwezi kwani nami sijalipwa
 
mkuu mi niko very serious na hili jambo na nishajua/fanya research ya kitu nachotaka kufanya
 
Mi nikiwa chuo na mpaka sasa nilikuwa nakopesha mikopo midogo midogo na dhamana ilikuwa vyeti. Mmoja aka default nimezuia vyeti mpaka Leo na fursa zilitoka za ajira akawa hana vyeti. Kurudisha siwezi kwani nami sijalipwa
mkuu bado unatoa mikopo?
 
mwenye uwezo naomba anisaidie katika hili, vyeti vyangu sio vibaya kwa matokeo yake
 
mkuu samahani ila cheti kina thamani kubwa
naongelea conversion ya hivyo vyeti into Cash mtu anaweka nyumba Kama dhamana bcoz it can be sold and turned into cash sasa •ukja kwenye vyeti utavfanyia nini?
 
Ikitokea mikopo ya vyeti, watatupata wengi.

Una vyeti vizuri ila huna kianzio na havina msaada baada ya dirisha la kuajiri kufungwa.
 
mkuu kila mtu ana bahati yake,na kila mtu kuna kitu anataka katika maisha! kuna wengine hawataki biashara yeye anataka aajiliwe tu na kuna wengine hawataki kuajiliwa ila wanataka kujifanyia biashara na kuna wengine wanapenda vyote!
Pia kuna wengine waoga kuomba msaada na kuna wengine sio waoga! huwezi jua labda anaweza kujitokeza mtu wa kunisaidia kwa jinsi nilivo na vigezo hivi tu! kikubwa ni kujiamini na kujua unataka nini katika maisha Mkuu
 
Mi nikiwa chuo na mpaka sasa nilikuwa nakopesha mikopo midogo midogo na dhamana ilikuwa vyeti. Mmoja aka default nimezuia vyeti mpaka Leo na fursa zilitoka za ajira akawa hana vyeti. Kurudisha siwezi kwani nami sijalipwa
Sasa hapo wote mnakua mmepata hasara.......Kukaa navyo unakua unamkomoa tu wakati at the same time na wewe pesa imeenda bure.....mimi sishauri kabisa kupeana mikopo afu eti vyeti ndo dhamana
 
Sasa ukiweka vyeti ukishndwa kulipa....hvyo vyeti vitageuka kuwa hizo millions kadhaa????
Mkuu,
Kuna watu duniani wana akili za ajabu! Kwanza utashangaa vyeti vitakuwa ni vya elimu gani mtu asieweza kutanganua mfumo Wa mambo.
 
Sasa hapo wote mnakua mmepata hasara.......Kukaa navyo unakua unamkomoa tu wakati at the same time na wewe pesa imeenda bure.....mimi sishauri kabisa kupeana mikopo afu eti vyeti ndo dhamana
Kwa nchi kama Tz ambayo ajira ni magumashi kweli haina maana ila kama ajira zipo cheti ni dhamana nzuri
 
nenda Tanzania Investment Bank walikuwa na programu kama hiyo wakifanya na incubator ya udsm,wa graduate wote wa vyuo vya tz...sijajua kwa sasa wamefikia wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom