The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Wapendwa salama?
Natamani kujenga na kuishi Kigamboni kwa siku za baadae, nilkuwa nauliza naweza kupata kiwanja Kigamboni kwa around 2.5m to 3m?
Na utaratibu wake ukoje?
Nilisikia kuna viwanja vya Serikali vinauzwa, nao pia utaratibu wake ukoje?
Asante.