Naweza kupata chuo cha shahada

Naweza kupata chuo cha shahada

Kuna kitu kinaitwa foundation program kinatolewa Open University hebu mwambie ajaribu kupitia huko.

Ni program maalum kwa waliokosa vigezo vya kwenda chuo kikuu moja kwa moja. Wanasoma hiyo kwa mwaka mmoja then wanaqualify kwenda. Details za qualification sina hebu ajaribu kuulizia. Akipata nafasi apite pale mnazi mmoja kama yupo Dar kuna TCU exhibition atapata details zaidi
 
Hongera kama kweli!
Ila ninavyojua Mimi elimu ya advance hasa kwa science inahitaji mtoto aweze kuwa Na Akili ya kudaka mambo haraka kuliko kawaida ndio anafanya vizuri!

Ndio maana Wengi wanaosoma science huwa wanapata div three!
Muda wa advance ni mchache kiasi kwamba wale ma slow leaner ni ngumu kupata matokeo mazuri ukilinganisha na olevel!

#NB

Usimuite mbumbumbu kwasababu ya hiyo div 1 yako sio tabia nzuri!!!
First of all mtu anatakiwa ajitume pale kibaha kila mtu mawazo ya one n mimi 85% nilikua nafundishwa na wanafunzi wenzangu
 
Back
Top Bottom