Sasa unapataje kadi bila kununua decoder yote?Ni led lakini sio ile ya grade ya juu. Antenna ya kawaida ya miba ya samaki bila power supply yake. Pia tv ina sehemu ya kuweka card kama ile ya ving'amuzi. Kwa hiyo ukiwa na dstv huna haja ya decoder yao just unachukua card yao na kuichomeka kwenye tv yako. Mimi nilikuwa natumia easy tv.
Channels utapata nyingi kulingana na maeneo uliyopo.