jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,882
- 7,671
Hapo sasa, 20m/- haimalizi nyumba per se, ila waweza achana na kupangisha na kadha za wenye nyumba zao...Toa Ushauri sasa. Vihela vidogo kwako km kwangu hivi naona km Bilion kadhaa.
Nina uhakika yaweza toa vyumba 2 au 3 vya kulala, kasebule, jiko na vyoo...
Ukitaka nyumba iishe yatakiwa zaidi ya hapo, ila kuachana na kupanga za watu yawezekana kabisa, itaisha ukiwa humo humo ndani, leo lipu, kesho kile na keshokutwa lile, inaisha..