Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
kwa fundi mie huwezi......labda fundi mwengine :[
wewe gharama zako ni zipi?????
mimi kwa nyumba ya vyumba vinne naanza na milioni 100 kwa uchache
ahsante
ukipata watu wa kuanzia milioni 60 ni pm....
Nikiwapata wapi? Wakiwa hawana milioni 100 siwapati :[
Kwa fundi mie huwezi......labda fundi mwengine :[
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=

ndio hapo, mafundi wako wa daraja na bei tofauti. Mie siwezi :]]
NIPE address ya kampuni yako...
hili suala lako gumu kujibika but ninafanya kazi ki-freelance zaidi.
Wewe mwaga kampuni yako nikulete wateja wasiokuwa na milioni 100 :]