naweza kubadilishana samsung s6 edge kwa samsung s9

Xiang Hao

Senior Member
Nov 19, 2016
126
97
habari wanandugu mimi ni mtumiaji wa samsung s6 edge nimenunua inakama miezi miwili haina mipasuko wala shida yeyote but nimetamani kutumia s9 je naweza kupata wa kubadilishana nae kisha niongeze na pesa kidogo
 
s3 hapana bro nataka s8 au s9
basi jua hata unavyotaka wewe ni ngumu kuwezekana kwa fan wa samsung
ni ngumu mwenye S9 hakakubari kubadilishana na ww kwa s6 kisha umuongeze ela kidogo sahau
hiyo mm nimekuchallenge huone ugumu wake hata kwako kwa mfano umeona ugumu wa kurudi version ya nyuma
tafuta mtu uza hiyo s6 halafu uongeze km laki 3 au 4 hivi kisha nenda kanunue s9
 
mimi nimesema ivo kwasababu nilishawahi kubadilisha infinix hot 6 kwa hit 10 kariakoo bt samsung hawana
 
Back
Top Bottom