Naweza badili route wakati niko kwenye Uber?

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,080
1,284
Naweza anzisha route nyingine wakati nipo tayari nipo kwenye ubber. ? Yaani nataka kuchukua Ubber x mbili maana eneo nililopo XL hamna.
 
Mkuu, title na yaliyomo sio sawa. Nitafafanua:

1.) Kubadili route:
Kubadilisha route inawezekana, yaani kama mwanzo ulitaka kwenda masaki ukataka kwenda temeke basi unaweza kubadili route hata kama ulishaanza safari ya masaki.

Unaweza pia kuongeza vituo mpaka vitatu, mfano unatoka tegeta unaenda mwenge basi unaweza kuweka vituo mbezi na lugalo; inashauriwa kila kituo usizidishe dakika 3 kabla ya kuendelea na safari.

2.) Kuita Uber mbili kwa wakati mmoja:
Hili haliwezekani mkuu, account yako ya uber inaweza kutumia gari moja tu kwa wakati. Inabidi umalize safari moja ndio uweze kuita Uber nyingine. Aidha unaweza kutumia applications nyingine kama taxify; kwa hiyo ukaita magari mawili, moja gari la Uber, jingine Taxify.
 
Back
Top Bottom