Nawaza ndoto niliyoota jana

Nawaza ndoto niliyoota jana

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,366
Reaction score
3,561
Nimeota kuna jamaa mmoja amefariki tunaaga maiti yake. Ghafla maiti ikasimama. Watu tulistuka. Akachukua fimbo bwana akaanza kucharaza watu viboko.

Sasa najaribu kuwaza maiti ya kiislamu ikifufuka nahisi kitu cha kwanza ni kuomba msosi kwanza maana maiti za kiislam lazma zioshwe kwa kukamua kila kilichoko tumboni.
 
Shukuru kwamba umeota unacharazwa viboko....Je ungekuwa ndiyo best man au matron unayemsindikiza mwenda zake mpaka makao ya milele ingekuwaje...Twashukuru ndoto nyingi siyo kweli, vinginevyo...Pangechimbika!!!!!!
 
najaribu kuwaza maiti ya kiislamu ikifufuka nahisi kitu cha kwanza ni kuomba msosi kwanza maana maiti za kiislam lazma zioshwe kwa kukamua kila kilichoko tumboni.

Usihisi subiri uote ivo ndo uje uhadithie
 
Sasa najaribu kuwaza maiti ya kiislamu ikifufuka nahisi kitu cha kwanza ni kuomba msosi kwanza maana maiti za kiislam lazma zioshwe kwa kukamua kila kilichoko tumboni.[/QUOTE]usipate taabu ni ndoto tu.................
 
Maiti za kikristo zinapelekewaga chipsi mortuary? Uchokozi tu hauna lolote!
 
nakuomba siku umeota umeingiliwa na popo bawa usije kutusimulia tafedhali
 
nakuomba siku umeota umeingiliwa na popo bawa usije kutusimulia tafedhali

Ntaku PM wewe halafu uwa PM mashoga zako. Lol
Nsipofanya ivo si itakua kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom