Nawaza mapenzi karibu masaa 12 kwa siku

Wakuu,

Pamoja na kwamba, kila siku natafuna papuchi hata walau bao moja tu(siku nikiwa na uchovu, lakini nimekua nikiwaza mapenzi muda mwingi kwa siku.

Yaani kila saa nawaza na kutamani mapenzi.

Sijui ni tatizo la kibaiolojia au ni jambo la kawaida?
Umri wako plz
 
Tiba yake hii hapa

Nenda bank kakope pesa ndefu ukununue gari bovu+uwe na mke pasua kichwa..

Nakuambia utawaza papuchi pale chura itakapokatiza tu na baada ya hapo utakumbuka tena.

Na baada ya miezi mi3 utakua husimamishi kabisa!
 
Wakuu,

Pamoja na kwamba, kila siku natafuna papuchi hata walau bao moja tu(siku nikiwa na uchovu, lakini nimekua nikiwaza mapenzi muda mwingi kwa siku.

Yaani kila saa nawaza na kutamani mapenzi.

Sijui ni tatizo la kibaiolojia au ni jambo la kawaida?
Kopa ili ubongo wako uwe bize na madeni badala ya mapenzi
 
ukitaka kupona ugonjwa wako tafuta kula panadol 10 shushia na pepsi baridii
 
Kuna mawil inaezekana upo kwenye umri wa kubalehe umri huu ashki zinakuwa zipo juu sana..
Pili ni kama walivoongea wadau wengine kuwa haupo bize , upo home idle au maisha bwerere
Ukiwa na majukumu na stress juu huwez waza mapenz kila sku
 
Wakuu,

Pamoja na kwamba, kila siku natafuna papuchi hata walau bao moja tu(siku nikiwa na uchovu, lakini nimekua nikiwaza mapenzi muda mwingi kwa siku.

Yaani kila saa nawaza na kutamani mapenzi.

Sijui ni tatizo la kibaiolojia au ni jambo la kawaida?
Unawaza Mapenzi au ngono?
 
Sasa, hiyo hali kwani inakukera? Si upige tu,uzuri hapa kwetu ngono bado cheap sana.Ukiwa na visenti vya gesti na mzuri kuchonga unajipigia tu, wewe na magonjwa tu mpambane.

Kamua tu baba,wenzio tunalilia hali hiyo.
 
Back
Top Bottom