wote wanaenda field kwa mwaka wa kwanza tofauti ni kuwa ITB wanasoma IT pamoja na busnec ikiwa na accnt kwa sana n finance,ICTM nt ITM!wanasoma IT pamoja na management kwa ujumla. Whle ITS Wanasoma pure IT bila kuchanganya na vi2 vingine vyovyote hpe it help!