Nawauliza wanaochukua ITM,ITS na ITB mzumbe

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Naomba niwaulize.Je wanaochukua ITB,ITM,na ITS pale Mzumbe.,mwaka wa kwanza wanaenda field? Na pili tofauti ya kozi hizo ni zipi?
 
wote wanaenda field kwa mwaka wa kwanza tofauti ni kuwa ITB wanasoma IT pamoja na busnec ikiwa na accnt kwa sana n finance,ICTM nt ITM!wanasoma IT pamoja na management kwa ujumla. Whle ITS Wanasoma pure IT bila kuchanganya na vi2 vingine vyovyote hpe it help!
 
thanks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom