Usidhani sikusoma hayo ya yeye"kukataa nchini kwake", ndio maana nikahoji kama historia ya Cuba haionyeshi uwepo wake. na mchango wake katika taifa hilo.'Fidel Castro alikataa. Aliulizwa?'
-Nakwambia Castro alikataa wewe unaniuliza aliulizwa?hahah aiseee.
'Sasa kama Fidel Castro alikataa, unahakika hakuna kitu chochote kama shule, barabara n.k., duniani kote visivyokuwa na jina lake?'
-Mtu kama Fidel Castro alikataa jengo,barabara wala kitu chochote kile kuitwa jina lake nchini kwake
Jitahidi kua unasoma nakuelewa jombaa.
Eeen Heee!, kama huelewi maana ya heshima inayoambatana na kutambuliwa huko huwezi kuona thamani yake. Kiufupi, wewe ni mjinga katika maswala haya, jaribu kujielimisha na sio kulalama bila kujua unacholalamikia.Dah! Nilidhani unalalamikia ubovu wa barabara kumbe unalalamikia majina? Hopeless kbsa
Ukweli ni kwamba ni zaidi ya kuwa "majina tu" mkuu. Inaonesha hujui maana yake ndiyo sababu unadhani hivyo.Hayo majina tu Mkuu
Kama ni "wivu", wewe usiyeona wivu, unafaidika?Wivu tu
Hakika kiswahili ni kigumu sana aisee.Usidhani sikusoma hayo ya yeye"kukataa nchini kwake", ndio maana nikahoji kama historia ya Cuba haionyeshi uwepo wake. na mchango wake katika taifa hilo.
Na katika hilo la kuulizwa: inaonyesha dhahiri huelewi unachosoma. Ni kiongozi gani aliulizwa kama anakubali apewe heshima kwa mchango wake unaotambulika katika jamii? Au bado huelewi nifafanue zaidi?
Kwa wewe unafaidika na nini na wivu wako?!Kama ni "wivu", wewe usiyeona wivu, unafaidika?
Kuna inayounganisha rwagasore na Lumumba inaitw amir maftahMnona huulizi ile barabara ya kuunganisha #Pamba road na rwagasore ambayo imeitwa ZONGII street, huyu zongii kaifanyia nini mwanza au Tanzania kwa ujumla?
Mleta mada una hoja ila umekosea kuanza na kenyatta.
Mada hii haimhusu Fidel Castro, na wala Fidel Castro siyo kigezo kinachotumika duniani.Hakika kiswahili ni kigumu sana aisee.View attachment 1645548View attachment 1645550
Hapana, sijakosea kuanza na Kenyatta.Mnona huulizi ile barabara ya kuunganisha #Pamba road na rwagasore ambayo imeitwa ZONGII street, huyu zongii kaifanyia nini mwanza au Tanzania kwa ujumla?
Mleta mada una hoja ila umekosea kuanza na kenyatta.
Na huyo "Amir Maftah" atakuwa kapewa heshima yake kwa sababu maalum, pengine na wakazi wa eneo hilo.Kuna inayounganisha rwagasore na Lumumba inaitw amir maftah
Hao watu wa Jiji wangekuwa ni watendaji makini, hiyo barabara ingestahili kuitwa "Bugando......"; na kama jina lililopo lilitolewa kwa sababu maalum, basi hiyo itaeleweka.Hivi ile inayoanzia round about ya Natta kwenda Bugando inaitwaje? Ilipewa lile jina kwa msingi upi? Naunga mkono, Jommo Kenyatta apewe barabara ya Butimba-TTC-Sweya.
Cc MK254 😀😀
Zongii ni jina la mtu weweHapana, sijakosea kuanza na Kenyatta.
Hiyo unayoisema wewe "Zongii street" hata kama sio jina la mtu aliyechangia chochote katika sehemu hiyo, jina hilo litakuwa na maana katika eneo hilo na wakazi wake wanaweza kueleza kwa nini mtaa huo ulipewa jina hilo.
Kama hawa viongozi wa Jiji wanajitungia tu majina ya kuweka kwenye mitaa bila ya kuwa na maana yoyote, basi watakuwa hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
Hukuandika hivyo katika ujumbe niliojibu.Zongii ni jina la mtu wewe
Hukuandika hivyo katika ujumbe niliojibu.
Basi kama ni jina la mtu, hapo tatizo liko wapi?
Bila shaka yoyote, mtaa huo ulipewa jina hilo kwa sababu maalum zinazomhusu "Zongii". Sasa hapo tatizo liko wapi?
Kwani hukusoma niliyoandika kuhusu Jomo Kenyatta kutostahili kupewa heshima hiyo?Sikuiandika Mimi aliandika voicer, na aliandika hivyohivyo ZONGII.
Sasa unauliza tatizo liko wapi Kwan kwa Kenyatta tatizo liko wapi?
Unasema Zongii alipewa kwa sababu maalum kwani Kenyatta alipewa bila sababu?!
Hizo sababu maalam unazosema zilizopelekea Zongii apewe mataa ni zipi?