Nawatakia usiku mwema.

Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,517
4,987
Mwenzenu kesho kazi nyingi naomba niwatakie usiku mwema ila onyo kwa mliooa angalieni muda mwingi wa usiku msiutumie kwenye komputa wake zenu hawatafurahia. It is just a polite notice you can take it or discard it. Mwaenzenu niko singo tu hata kama ni kufika asubuhi hakuna wa kuninunia. Alamsiki!
 
Afu mnasema wazalendo wa Tariiiime waache kuilima! Na hawa Wateja wataenda wapi????
 
Back
Top Bottom