Nawatakia Ramadhan Kareem!

Nawatakia Ramadhan Kareem!

Amiin, Allah atujaalie mfungo mwema kwa wafungaji wote na atupokelee dua zetu pia atuwepesishie magumu yetu insha'Allah

Aaaamin my loveliest one am wishing you the same darling wangu kpnz ALLAH akujaze kheyr katika kila ufanyalo na akufungulie palipo fungwa my sweetlove. Amin Yaa Rabb.

💞
 
ramadan-kareem-wishes-in-english.jpg


Amin. Amin. Thumma Amin.
 
Back
Top Bottom