Nawatakia maandalizi mema ya pasaka

Mary Chuwa

Senior Member
Feb 24, 2011
177
40
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha poa na kufa nao ukawe na Uhai Mpya.
Afya njema katika familia zenu

Pasaka hii watu muwe karibu na familia na jamaa zenu na siyo kuitumia kuwasaliti wengine.

yale mema mliyokuwa mnayafanya wakati wa Kwaresima basi yakawe Mwendelezo katika maisha Yenu.

Kila la kheri Wapendwa katika Maandalizi ya Ufufuko wa Yesu
 
Asante sana, na wewe zingatia hao uliyotueleza ukayafanyie kazi.
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha poa na kufa nao ukawe na Uhai Mpya.
Afya njema katika familia zenu

Pasaka hii watu muwe karibu na familia na jamaa zenu na siyo kuitumia kuwasaliti wengine.

yale mema mliyokuwa mnayafanya wakati wa Kwaresima basi yakawe Mwendelezo katika maisha Yenu.

Kila la kheri Wapendwa katika Maandalizi ya Ufufuko wa Yesu
 
Karibu sana Husniyo.

Kuhusu Kufufuka kweli kafufuka ila kwa Imani Ufufuko wake ,unaendelea hata sasa katika mambo mengi tu,ndani na nje ya maisha yetu
 
Kipindi cha Kwaresima kinakaribia kufika ukingoni.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka,Yesu anapofufuka,akafufuke katika uchumi wa familia zenu,mahusiano mema ya familia zenu,na Upendo uliokwisha poa na kufa nao ukawe na Uhai Mpya.
Afya njema katika familia zenu

Pasaka hii watu muwe karibu na familia na jamaa zenu na siyo kuitumia kuwasaliti wengine.

yale mema mliyokuwa mnayafanya wakati wa Kwaresima basi yakawe Mwendelezo katika maisha Yenu.

Kila la kheri Wapendwa katika Maandalizi ya Ufufuko wa Yesu

Naomba unifundishe kusali baba Yetu
 
Sawa Fidel80,funga macho na ufuatishe sala hii,
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike
Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Tunavyowasamehe na sisi waliotukosea...........................

Samahani Fidel80 fungua macho kwanza hapa unapoomba msamaha kwa Mungu hakikisha umewasamehe kweli waliokukosea

Haya tuanze tena
 
Sweetdada aksante nami nitayazingatia niliyosema isije kuwa napiga mbio halafu..............................
 
Sawa Fidel80,funga macho na ufuatishe sala hii,
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike
Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Tunavyowasamehe na sisi waliotukosea...........................

Samahani Fidel80 fungua macho kwanza hapa unapoomba msamaha kwa Mungu hakikisha umewasamehe kweli waliokukosea

Haya tuanze tena
Usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni. Amina. Mary uwe na Pasaka njema na wewe
 
Kwa sasa tunafanya kumbukumbu ya kifo na mateso ya yesu..

Asante sana Mary uwe na sikukuu njema pia
 
Back
Top Bottom