Nawatakia heri ya sikukuu za Christmass na Mwaka mpya wana UKAWA tu popote mlipo

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na bila kuweka fitna au unafiki wowote , ninaomba kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya sikukuu hizi maarufu sana duniani wapenzi , washabiki na wanachama wote wa vyama vinavyounda UKAWA popote walipo duniani .

Sitaki kuchuma dhambi yoyote , na ndio maana sikutaka kuwahusisha wanaccm kwa vile siwapendi kuliko kitu chochote kinachoonekana ama kisichoonekana katika nchi hii , fitna kwangu mwiko .

Pia nachukua nafasi hii kuwapa pole wana UKAWA wenzangu kwa yote mliyopitia na mnayoendelea kupitia kwenye siasa za kishamba zinazofanywa na zinazoendelea kufanyika kwenye nchi yetu .

2018 - NEVER GIVE UP , mapambano ya kudai haki , demokrasia na utu wa Mtanzania yaendelee kwa kasi ya radi.

Mungu ibariki UKAWA .
6f64189b946587c4cd955318f805e8a9.jpg
 
Mmmmmmmh
Kususa ni kuonyesha uoga mkubwa na mnazidi kujichimbia shimo la kudumbukia milele na kuua lichama bomu la familia.. nyie mmelosti haswaaa
ndio hivyo shindaneni na ng'ombe au mbuzi maana mashindano hamuyawezi.
 
usifurahie kumaliza mwaka Bali furahia kufikia malengo.watuwengi sana wanawaza 2018. TAMBUA niujinga. Unaweza ona huna.pesa, kufikia mikakati,au kubadilika kimtazamo wafikra. labda sherekea kwafuraha panapo uzima kama mengine siriziki kwako.
 
Back
Top Bottom