Nawatakia heri ya sikukuu za Christmass na Mwaka mpya wana UKAWA tu popote mlipo

Endapo kama Mwenyezi Mungu angekuwa na ubaguzi kama walio nao wana ukawa. Nadhani dunia hii wangeishi watu wachache sana.
I hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate ukawa. They are very foolish
 
Ndio maana hatukuwaalika wanaccm kwenye uzi huu mkuu , wenzio wote wako hukoooo .
 
Eeeeeeeh
Kumshabikia JPM ndio kuwa CCM!!!

Ningekuwa huko basi ningeshakuwa Katibu wa Chama kabisa:p..au ningechukua kazi ya Polepole.. na mwishoe ningekuwa Mwenyekiti kabisa

Tabu kuingia kwa chama hicho wakiona una nondo wanakukimbia ili usiwapite.. eeeeeeh

Mie nitabaki kushangilia lori kama mwananchi na mdau wa JF.

JPM bado anahitaji vichwa haswa haswa kutoka nje ya chama.. so watajiju huko na nyie huko
Coco tangu lini ukafikia vigezo vya kuwa katibu wa CCM?

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Eeeeeeh

Naona mmezimwa kama hamkuwepo.. embu rudini mteteee viongozi wenu na chama chenu kama zama zilizopita maana mmedodaaa
tumewasusia huo uchaguzi.mkitaka wa kushindana nae wekeni koti au tofali maana mashindano yamewashinda. hovyoo
 
Endapo kama Mwenyezi Mungu angekuwa na ubaguzi kama walio nao wana ukawa. Nadhani dunia hii wangeishi watu wachache sana.
I hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate hate ukawa. They are very foolish
Na weye ni mtoto wa Lipumba.Gunioo
 
tumewasusia huo uchaguzi.mkitaka wa kushindana nae wekeni koti au tofali maana mashindano yamewashinda. hovyoo

Mmmmmmmh
Kususa ni kuonyesha uoga mkubwa na mnazidi kujichimbia shimo la kudumbukia milele na kuua lichama bomu la familia.. nyie mmelosti haswaaa
 
Back
Top Bottom