Nawatakia heri ya sikukuu za Christmass na Mwaka mpya wana UKAWA tu popote mlipo

usifurahie kumaliza mwaka Bali furahia kufikia malengo.watuwengi sana wanawaza 2018. TAMBUA niujinga. Unaweza ona huna.pesa, kufikia mikakati,au kubadilika kimtazamo wafikra. labda sherekea kwafuraha panapo uzima kama mengine siriziki kwako.
Mimi ni tajiri , kuhusu malengo nilishayatimiza kabisa siku nyingi sana , shukrani kuu kwa Mungu , jambo lililosalia ni hili la kuwakomboa watanzania , ambalo nalo liko karibu sana kukamilika .
 
Asante mjomba
Tuchukue vile vile nafasi hii kuombea roho za marehemu waliotutoka sababu ya haya mambo yetu ya kidunia. Sijui kama Baba Mungu ana chama ila ndo hivyo tuwaombee walazwe pema peponi na majeruhi waendelee kupona popote walipo. Ben Saa Nane tunakutafuta bado, Mawazo pumzika vyema, wale wa visiwani waliotutoka na waliojeruhiwa sababu ya haya mambo ee Mola turehemu. Baba sisi waja wako tulikuja bila itikadi lakini tunakufa sababu ya haya mambo ambayo wagiriki walianzisha. Kama si wagiriki tungekaa na watemi wetu waliokuwa wanatuuza kama viazi na kutunyang'anya ardhi zetu kama kwamba sisi ni swala. Baba hivi nani alianzisha watawala wa dunia? Baba hivi hatuwezi ishi bila yao tukawa na familia tu halafu hakuna mipaka? Naomba na kukulilia baba ili mwaka unaoanza ulete miujiza yako, tuishi bila vyama, mipaka wala bunge za gizani. Amina.
 
Mungu akurudishie wema wako .
 
Back
Top Bottom