Nawatafuta Sungura aina ya chinchila

Nawatafuta Sungura aina ya chinchila

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,694
Reaction score
15,424
Ndugu wadau nawatafuta sungura aina ya chinchila,mwenye nao please ani pm.

1479472453538.jpg
 
Mimi naomba unisaidie jinsi ya kupata hiyo font mkuu,
Samahani japokuwa nimetoka nje ya mada, Nina samsang E5
f315d5e802531dfe0e8a9261f47d4740.jpg
 
Hii ni screen shot mkuu,hold sehemu ya kuwashia simu na pa kupunguzia sauti kwa pamoja.
 
Nadhani awa hawapatikani Afrika, sio kila mnyama anapatikana kila mahali.
 
Back
Top Bottom