balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,456
- 12,581
Hawa macomred sijui wako wapi nilisoma nao Nsumba hapo miaka kadhaa nyuma, atakayewaona au kuwafahamu anipm mawasiliano.
Nimewakumbuka sana.
Nimewakumbuka sana.
Mkuu hakuna cha kufafanua hapo,ni marafiki zangu tukiwa shule enzi hizo,nimewakumbuka tuu,nataka niwasiliane nao.Mkuu fafanua kidogo.
Ok mkuuMkuu hakuna cha kufafanua hapo,ni marafiki zangu tukiwa shule enzi hizo,nimewakumbuka tuu,nataka niwasiliane nao.